Mgomo wa wahudumu wa afya Meru waingia siku ya 33

  • | Citizen TV
    134 views

    Mgomo wa wahudumu wa afya Meru umeingia siku ya 33, wakikosa kuafikiana na Serikali ya kaunti ya Meru kuhusu utekelezaji wa Mkataba wa makubaliano waliofanya mwaka jana mwezi wa tisa na ulifaa kuafikiwa mwezi wa Nne mwaka huu.