Mgomo wa wauguzi katika kaunti ya Taita Taveta kuanza kesho

  • | Citizen TV
    140 views

    Viongozi wa vyama vya wauguzi katika kaunti ya Taita Taveta wametangaza mgomo wao kuanzia kesho baada ya mazungumzo kati yao na uongozi wa kaunti kukosa kuzaa matunda