Job Mugodi, Mkazi Nakuru: Sisi kama vijana tulikuwa tunajivunia Raila Odinga kwa sababu ndiye aliyetufundisha kuhusu haki yetu ya kuandamana na kujieleza. Kifo chake kimetushtua sana. Tunaamini kuwa kufuatia kifo chake, siasa za Kenya zitabadilika kwa kiasi kikubwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News