- 488 viewsKampeni za wagombea urais wa Marekani Donald Trump na Kamala Harris zinaangazia zaidi masuala muhimu kama vile uhamiaji, utoaji mimba na uchumi. Lakini mgongano wa kitamaduni kuhusu jinsi ya kushughulikia masuala ya utambulisho wa kijinsia katika shule za msingi na sekondari, pia ni suala linalopewa kipaumbele na pande zote mbili. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Maswala yanayopewa kipaumbele na Wagombea urais wa Marekani
- 19 Jun 2025 - The government has issued a safety advisory to Kenyans residing in Israel and Iran due to the ongoing conflict between the two nations.
- 19 Jun 2025 - The government has suspended the controversial diversion of the housing levy funds previously used to build markets across the country, following a key meeting between President William Ruto and COTU Secretary-General Francis Atwoli.
- 19 Jun 2025 - A police officer was shot dead on Thursday afternoon by an armed assailant in Thika West, Kiambu County.
- 18 Jun 2025 - The government has raised concerns over the quantities of expired essential medicines in a year, saying a study conducted has indicated that Kenyans lose up to Ksh.90.5 billion every year.
- 18 Jun 2025 - Phillip Ochieng’ Oketch, the Kenyatta University student shot during Tuesday’s Justice for Ojwang protests, was dramatically discharged from Kenyatta National Hospital amid fears for his safety.
- 18 Jun 2025 - Nairobi Regional Police Commander George Seda says the police are ready for the planned June 25 demonstrations scheduled for Wednesday next week in remembrance of the momentous Gen Z protests last year.
- » Nairobi police boss denies officers colluded with goons, insists only rubber bullets used in protests18 Jun 2025 - Nairobi police boss George Seda has denied allegations that police officers had joined forces with goons who infiltrated Tuesday's protests, citing that the Service did not have any reports of armed goons in their briefing.
- 18 Jun 2025 - The United Opposition has accused President William Ruto’s administration of overseeing extrajudicial killings, deploying rogue police units, and forming illegal alliances with militia gangs, which they say mirror Haiti-style death squads.
- 18 Jun 2025 - Kimilili Member of Parliament (MP) Didmus Barasa has come out to defend the National Police Service (NPS), claiming that officers are being unfairly targeted and victimized by the public and oversight bodies.
- 18 Jun 2025 - Cabinet Secretary for Public Service, Human Capital Development, and Special Programmes, Geoffrey Ruku, has called on African youth to take the lead in transforming the continent by embracing the African philosophy of Ubuntu.