Viongozi wa jamii ya GEMA wataka taifa liwe na amani kabla ya uchaguzi

  • | Citizen TV
    292 views

    Jamii ya mlima Kenya inayoishi kaunti ya Turkana imetaka uwiano na mshikamano nchini msimu wa siasa unapobisha hodi