Shirika la KHRC lataka hazina ya Hustler Fund kufutiliwa mbali

  • | Citizen TV
    204 views

    Tume ya kutetea haki za binadamu ya KHRC sasa inapendekeza kufutiliwa mbali kwa hazina ya Hustler Fund. Katika ripoti yake, KHRC imesema hazina hii imekosa kuwawezesha wakenya walio chini kiuchumi kama ilivyokusudiwa na hata mikopo mingi kukose kulipwa