Reuben Korir ateuliwa mgurugenzi mtendaji wa KEWASCO

  • | Citizen TV
    177 views

    Serikali ya Kaunti ya Kericho imemwajiiri Reuben Korir kama mgurugenzi mtendaji wa kampuni ya maji ya Kaunti hiyo KEWASCO ili kuchukua nafasi ya mgurugenzi mtendaji mstaafu kibii Siele