Zaidi ya wanafunzi milioni 1.3 wanafanya mtihani wa KPSEA

  • | Citizen TV
    1,776 views

    Zaidi ya wanafunzi milioni 1.3 kote nchini wameanza tathmini ya gredi ya sita - KPSEA. mtihani huo utafanyika kwa siku tatu na kukamilika siku ya jumatano wiki hii. Waziri wa elimu Julius Migos na katibu wake Belio Kipsang wameongoza maafisa wakuu wa serikali kusambaza karatasi za mitihani na kuzuru shule mbalimbali nchini.