
257,077 views
7 Aug 2026
LYRICS *BARAKA ZA MAOMBI* *1. Kama tuna moyo mnyenyekevu wa kuamini na wenye toba. Mungu hukubali na kusikia maombi yetu ya moyo.* Chorus (Enda kwa) Enda kwa Mungu (Umwage) Umwage roho (Mweleze) Kama rafiki (Yote) Yalojaa moyoni Yeye asikiaye faraghani Mungu atakujibu kwa wazi. 2. . Mungu wetu anaposaidia vikwazo vyote hushindwa ndipo twapokea baraka za mbingu zitokazo kwa maombi *Bridge* Heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki wala hakusimama katika njia ya wakosaji. Naye atakuwa kama mti kando ya vijito vya maji uzaao matunda yake kwa majira yote
