
228,572 views
15 Aug 2025
Lyrics *1.Bila wewe nitawezaje nia yangu haina maana. Katika hatua zangu. Ninaomba uende nami ee Bwana. Kwani hakuna njia bila wewe. [Fungua×2] njia* *Ninaomba niende nawe . Bila wewe sitaweza. Bwana shuka uende nami. Bila wewe nitashindwa* *2.Nionyeshe njia zako Bwana niongoze kwa kweli yako. Nitakwenda na nitafuata kwa nyayo zako nisizame Ee Bwana. Sifungi safari bila wewe [Tembea×2] nami* *3. Nisafishe moyo wangu Bwana nitumie kama chombo chako. Mbele yangu ni giza kuu ila wewe ni nuru yangu, Mawingu mazito yatatoweka Mungu ukienda nami* Credits Composer: Wiclief Oguta Audio : Airwaves Studios, Pro Emma Track: Allan
