
111,423 views
9 Jan 2026
*LYRICS* *1. Muda mwingi ni vigumu sana, kupambana na changamoto za maisha, maamuzi yetu, chaguzi zetu, bila uongozo wa Mungu. Uamuzi moja mbaya tu; utatufanya tuteleze, kwenye mteremko ule ajabu; wa maafa.* *"""::Tukiziungama dhambi zetu. Yeye ni mwaminifu. Na wa haki. Atatuondolea. Zilizotufunga. Na kutusafisha udhalimu wote* 2. *Kilicho ajabu hata tukikosea. Ana uwezo kuchukuwa vipande vyetu. Vilivyovunjika na kuvifanya kuwa kitu kizuri zaidi.Haijalishi umefanya nini hakuna asichoweza kusamehe. Anasubiri kwa mkono ulionyooshwa mgeukie ukumbatiwe* *Bridge* *Ukweli ni kwamba hakuna aliyekamilika sote tumekosa mbele zake Mungu. Lakini bado atupenda . Yatupasa tumpokee kwetu awe na udhibiti kamili kwa maisha yetu milele*
