
158,921 views
5 Dec 2025
Audio by PRO JACK LYRICS *Tumeitwa Leo mwito wa dhamana kuu ...njooni kwangu mliolemewa na mizigo nitawapumzisha (Ameichukua mizigo yetu mizito akatuonea huruma sisi maskini x2)* Chorus *Nimependelewa kwa damu ya Yesu.* *Nimebebwa Mimi mabegni mwake* *Dhamana ya makosa Iko miguuni pake...* *Huyu Yesu ni wa namna gani?* *Mwovu anatambua, dhamana imetolewa tena bure, Damu ya thamani kutuweka huru dhidi yake. anajaribu kutupotezea Imani akituomyesha hatuna tena nafasi wakati Mungu anatuhitaji tulivyo pamoja na mizigo yetu atupumzishe*
