
9,423 views
St. Anthony Cathedral Choir Malindi
8 Jan 2026
MBIU YA MWAKA MPYA! 1. Mbiu...popopo..) Mbiu ina sikika kote, ( papapapa..) kelele zimetanda kote, ( papapapa....) Shangwe nderemo na vifijo duniani,,, (Mwaka mpya tuimbe tumshukuru Mwenyezi, mwaka mpya tucheze turukeruke kwa shangwe) Pigeni ngoma na vinanda ni mwaka mpya, [papapa] Imbeni nyimbo tamu nyimbo za mwaka mpya,[papa..] Tucheze na tuserebuke ni mwaka mpya, [papapapa..] (Ni mwaka wa amani Upendo na furaha, ni mwaka wa baraka wenye mafanikio x2) 2. Faya..popopo...) Faya ina mulika kote,...papapapapapapa. Mwangaza umetanda kote,...(papapapa..) Faya hapa na pale kote duniani... 3. Leo...popopo...) Leo ni siku ya pekee, [papapapapapapa] Watu wamepamba dunia, [papapa.......] Jua Mwezi na Nyota zinaonekana... Climax Wababa na wamama semeni sasa - mwaka mweu museo Wazee na vijana pigeni nduru - mwaka mweu museo Wamama na mabinti tamkeni wote - mwaka mweu museo By St. Athony choir copy righted stanthonycathedralchoirmalindi@gmail.com
