This video is no longer available on YouTube. You can still watch more from the same artists below.

21,335 views
St. Anthony Cathedral Choir Malindi
3 Aug 2025
Sadaka ya Hija volume 5 (2025)Official video by St.Anthony cathedral Choir SADAKA YA HIJA 1. Sadaka ya hija na maombi yangu pokea baba, ( pokea baba) majuto ya moyo wangu nakukabidhi x2 Naleta mkate na divai kama shukurani zangu, Matunda ya jasho ni ishara ya nguvu kutoka kwako, Fedha za mifuko ni sehemu ya hazina ya mapato, naleta mifugo pia pokea mazao ya shamba nakupa kwa moyo mkunjufu 2. Kwa unyenyekevu ninakuja kwako na sala zangu, ( Nakuja kwako) Navirejesha vyote nilivyo pokea x2 3. Furaha uchungu hata nafsi yangu nairudisha, ( Narudi kwako) Mimi ni wako baba unipokee x2 4. Naomba baraka nibariki leo na siku zote, ( Nilinde baba) nikutukuze muda ningali hai x2
