This video is no longer available on YouTube. You can still watch more from the same artists below.

168,255 views
St. Anthony Cathedral Choir Malindi
18 Feb 2025
TWENDE HIJA TUSALI NA KWAYA YA MT ANTHONI WA PADUA MALINDI NI JUBILEI... 2025 1. Ishirini na tano imefika tufurahie (sana), Mwaka Mtakatifu ule mwaka wa Jubilei; Tuitikie mwito wa kanisa twendeni hija (wote,) tujumuike tuwe Mahujaji wa Matumaini (Ni jubilei) njooni tusherekee, (Ni jubilei) wakristo tushangilie... x2 2. Tuwashe moto wa Injili neno la Mungu lisambae (kote), Tusome bibilia tusimame imara kwa bwana; Tuwahifadhi wote wale wasio na makazi (pia), Tuwasamehe watu wale wanao tukosea. 3. Tuwe ishara ya Matumaini kwa ndugu zetu (wote), Tuwe wapatanishi tutaitwa wana wa Mungu; Tulishe wenye njaa na tuvishe walio uchi (kweli), Tujitenge na dhambi tumrudie Mungu wetu.. CLIMAX... Waimbaji wote Kenya twende Zanzibari, (Twende hija tusali) Twendeni Pemba hadi Unguja, (Tupeleke injili tuimbe); Jimbo kuu la Mombasa twende Tanzania, (twende hija tusali) Twendeni Tanga na Bagamoyo, (Tusambaze Amani undugu) Nairobi yote twendeni Jerusalemu, (Twende hija tusali) Twende Jeriko na Bethania (Tuongezwe Imani upendo) Waumini wote Nyeri twende huko Roma, (twende hija tusali) Twende Vatikani na Assisi, (tushiriki ibada na baba) Watu wa Kisumu twende Uganda na Rwanda, (Twende hija tusali) twende Namugongo na Kebeho, (Tukavune Imani Thabiti) Makasisi na watawa twende kotekote (twende hija tusali) Ulaya Eshia na Marekani (Tukasali Rozari Tuombe) Malindi tunasherekea ishirini na tano Cathedral tuna sherekea ishirini na tano Jimbo letu limetimiza ishirini na tano Kwaya yetu imetimiza ishirini na tano
