11 Nov 2025 1:48 pm | Citizen TV 74 views Duration: 1:32 Timu ya kuwinda 1 fc kutoka Karen iliilaza undugu family ya Kibera moja kavu katika mechi ya ufunguzi ya kombe la Langata Abas Super Cup iliyochezwa leo alasiri katika uwanja wa magereza Nairobi Magharibi