- 425 viewsDuration: 1:43Afisa wa afya ya umma mjini Kilifi ameweka rekodi kwa kukusanya nepi zilizotumika zenye uzani wa tani 2.2 kwa saa 72. Juhudi hizo zinalengakutoa hamasa kwa jamii kuhusu umuhimu wa kutupa nepi inavyostahili.Kevin Anungo anasema hatari ya mlipuko wa wagonjwa inakodolea macho jamii hasa mvua inaponyesha akizikosoa kampuni za nepi kwa kukosa kutoa mwelekeo madhubuti wa kutupa nepi hizo baada ya kutumika.