- 12,372 viewsDuration: 3:32Familia ya afisa wa polisi anayedaiwa kuuawa na mwenzake baada ya ugomvi, inataka uchunguzi wa haraka ufanywe ili kuhakikisha jamaa wao amepata haki. Konstebo wa polisi Abel Kivoto Kimanzi alivamiwa na kudungwa kisu na mwenzake tarehe 23 mwezi Disemba katika kituo cha polisi cha Salama katika kaunti ya Laikipia baada ya wawili hao kutofautiana. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive