20 Jan 2026 10:36 am | Citizen TV 265 views Duration: 1:52 Wakulima na wafugaji kutoka kaunti ya Garissa sasa watakuwa wakipokea habari kuhusu utabiri wa hali ya hewa kwenye simu zao za rununu ili kujiandaa na kujiepusha na hasara zinazosababishwa na ukame na mafuriko.