- 289 viewsDuration: 3:07Jamaa moja amepata umaarufu katika kisiwa cha amu kwa kutumia mitandao ya kijamii kuelimisha jamii. Ahmed Hassan ameteuliwa balozi wa utalii katika kaunti ya lamu kutokana na juhudi zake za kutoa burudani na hata kuwaajiri wakazi ambao anashirikiana nao mitandaoni.