Skip to main content
Skip to main content

Ajenga Torosterdt: Wakenya wanajirudisha nyuma wenyewe kwa kuchagua viongozi wasiowafaa kila mara

  • | TV 47
    22 views
    Duration: 3:51
    Mchanganuzi wa sera na uongozi, Ajenga Torosterdt: Wakenya wengi kutoka matabaka mengi wana imani kuwa wanasiasa wanaweza kusuluhisha changamoto zilizopo katika jamii, wakiamini kwamba labda tukimbadilisha fulani tukamweka fulani, mambo yetu yatakuwa sawa. Lakini inapofika wakati wa kuwachagua viongozi, unapata wananchi wenyewe wanajirudisha nyuma. #TV47Habari @Kilemi_Andrine Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __