- 16,086 viewsDuration: 28:10Baada ya wiki kadhaa za mvutano ambao ulitikisa Mashariki ya Kati, Marekani na Iran zimetangaza kufikia makubaliano ya kumaliza vita kati yao. Pande zote mbili zimekuwa zikijaribu kuonyesha kuwa mpango uliotangazwa ni ushindi kwa kila upande. Katika ujumbe uliochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, Rais wa Marekani aliandika kwamba Mkataba wa makubaliano umeshakamilika na kwamba mlango bahari wa Hormuz, utafunguliwa. Aidha alisema 'mafuta yaanze kusafirishwa!' #Iran #USA #Trump #israel #hezbollah #bbcswahili #bbcswahilileo #dirayaduniatv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw