Skip to main content
Skip to main content

Akina mama katika kaunti ya Pokot wameanzisha mchakato wa kushiriki kiuchumi eneo hilo

  • | Citizen TV
    168 views
    Duration: 3:37
    Akina mama katika kaunti ya Pokot Magharibi wameanzisha mchakato wa kushiriki kikamilifu katika masuala ya kiuchumi katika eneo hilo la wafugaji, wakilenga kubadilisha dhana potovu kwamba wanawake ni dhaifu na wasioweza kuchangia ukuaji wa uchumi. Kupitia kujihusisha na elimu ya ufundi, sasa wanajitengenezea nafasi za kujiajiri na kujikwamua kiuchumi.