Aliyekuwa Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu aachiliwa kwa dhamana

  • | Citizen TV
    10,823 views

    Ni afueni kwa aliyekuwa Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu baada ya Mahakama kumshawishika kumpa dhamana ya shilingi milioni 53.