- 1,944 viewsDuration: 3:19Aliyekuwa jaji mkuu David Maraga ameukuosoa uongozi wa Rais Wiliam Ruto akisema unapeleka taifa hili visivyo akiwataka wakenya kuwa makani katika uchaguzi ujao na kuchagua kiongozi anayeweza kukabiliana na changamoto wanazopitia
