- 11,729 viewsDuration: 2:55Watu wa wanne wamekamatwa akiwemo mshukiwa mkuu kuhusiana na ubakaji na mauaji ya msichana wa miaka 16 safiya abdi bilal huko Garissa. Inadaiwa mshukiwa huyo Hussein Bilal ni ami ya marehemu na alitekeleza unyama huo alipokuwa amepewa jukumu la kuwachunga watoto wa kakake nyumbani. Na kama anavyoarifu Feisal Abdirahman washukiwa hao tayari wamefikishwa mahakamani huko Dadaab.