AMREF yatoa mafunzo kwa wahudumu wa afya katika kaunti ya Siaya

  • | Citizen TV
    194 views

    Shirika la afya la AMREF limeanza mchakato wa kutoa mafunzo kwa wahudumu wa afya kaunti ya Siaya kuhusu magonjwa ya mabadiliko ya hali ya anga yaliyopuuzwa.