Asilimia 26 ya wakaazi wa Makueni wana matatizo ya shinikizo la damu

  • | Citizen TV
    122 views

    Asilimia 26 ya wakazi wa Makueni wana matatizo ya shinikizo la damu, hali inayochangiwa na watu kutojitokeza kila wakati kujua hali zao za afya.