- 2,419 viewsDuration: 2:56Hali ya taharuki imeendelea kutanda katika eneo la Kibiko kaunti ya kajiado kufuatia makabiliano makali kati ya maafisa wa polisi na makundi mawili ya kijamii yanayozozania ardhi ya ekari 2,800 eneo hilo. Aidha watu saba wanazuiliwa na polisi wakisubiri kushtakiwa kwa kuzua ghasia hizo zilizosababisha kifo cha polisi mmoja na kuwaacha wakazi kadhaa na majeraha.