Skip to main content
Skip to main content

Askofu Muheria aikosoa serikali kuhusu utekelezaji wa ahadi

  • | Citizen TV
    454 views
    Duration: 1:57
    Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Nyeri Anthony Muheria,ameonekana kumkosoa rais William Ruto kuhusiana na anazozitaja kama ahadi za kila mara kwa taifa ambazo hazitekelezwi.