- 179 viewsDuration: 56sAskofu Mkuu wa Kanisa la Good News of Africa Raphael Nzuki Kituva ameitaka Serikali kuhakikisha kwamba bei ya mafuta inashuka kwa kiasi ambacho wakenya wa mapato ya chini wataweza kumudu. Kadhalika, askofu Nzuki ameitaka serikali kukomesha kabisa magenge ya wahuni kwenye mikutano ya kisiasa.