Baadhi ya viongozi wa ODM wanataka Kaimu kiongozi wa chama hicho Seneta Oburu Oginga kuitisha kikao cha viongozi wa chama hicho na kutuliza mzozo unaoongezeka kwenye chama hicho. Wakiongozwa na makamu wawili wa wenyeviti wa kitaifa, Otiende Amollo na John Ariko, wamesema kuwa iwapo matatizo ya ndani hayatatatuliwa haraka, huenda yakaathiri imani ya wananchi kwa chama hicho na kupunguza umaarufu wake kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive