30 Oct 2025 1:45 pm | Citizen TV 178 views Duration: 1:06 Maafisa wa afya katika kaunti ya Kitui wameonywa dhidi ya kujihusisha na wizi wa dawa na vifaa vya matibabu kwenye hospitali za umma katika kaunti hiyo.