Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya wakazi wa shamba la Kibiko wahama kwao ambapo mzozo kuhusu ugavi wa ardhi hiyo unaendelea

  • | Citizen TV
    143 views
    Duration: 1:52
    Hali ya wasiwasi imetanda kwa siku tatu sasa katika shamba la jamii la Kibiko eneo la Ngong Kaunti ya Kajiado huku baadhi ya wakazi wakihama kwao kutokana na mvutano kuhusu usimamizi wa shamba hilo.