Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya wakimbizi wamepewa elimu baada ya kukaguliwa

  • | Citizen TV
    133 views
    Duration: 2:15
    Serikali imeanza kuhakiki ujuzi wa wakimbizi katika kambi za Kakuma na Dadaab kupitia mpango wa Recognition of Prior Learning. Mpango huu unalenga zaidi ya wakimbizi 6,000 walio na ujuzi lakini hawana vyeti.