17 Nov 2025 10:30 am | Citizen TV 1,978 views Duration: 1:55 Viongozi wa Baraza kuu la waislamu eneo la pwani wamekanusha madai ya mgawanyiko katika baraza hilo na kusema kuwa wamepanga kufanya uchaguzi mmwakani.