Baraza la KNEC lalaumiwa kwa kilichotokea mwaka jana

  • | K24 Video
    143 views

    Kuna haja ya kuongeza kiwango dhamana kwa watakaohusika na wizi wa mitihani. hiyo ni kauli ya wadau wa elimu. Wakati huohuo baraza la mitihani ya kitaifa, KNEC, limelaumiwa pakubwa kwa ongezeko la visa vya udanganyifu, pia kuna madai kuwa mtihani wa pili wa hisabati na somo la dini katika KCSE mwaka uliopita ilikumbwa na udanganyifu na hakuna hatua iliyochukuliwa.