Baraza la magavana ladai kuwa kuna wahudumu wa afya wa UHC 3000 ambao ni wafanyikazi hewa

  • | NTV Video
    68 views

    Baraza la magavana limedai kuwa kuna wahudumu wa afya wa UHC 3000 ambao ni wafanyikazi hewa. Haya yanajiri huku wahudumu hao wakiendelea na mgomo wao nchini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya