- 496 viewsDuration: 5:37Baraza la wanahabari nchini limeanzisha rasmi kongamano la wasimamizi wa Vilabu vya wanahabari katika taasisi za elimu hususan shule za upili. Kongamano hilo la kipekee limeleta wanachama wa vilabu hivyo kutoka kaunti tano za ukanda wa Nyanza pamoja, kujadili maswala ibuka katika tasnia ya uanahabari.