Skip to main content
Skip to main content

Biashara I NYOTA kutoa mtaji wa biashara unaolenga kaunti 27

  • | KBC Video
    934 views
    Duration: 2:46
    Vijana katika kaunti 27 watapokea shilingi elfu- 25 kwenye awamu ya pili ya mpango wa kujistawisha wa NYOTA. Katibu wa biashara ndogondogo na zile za kadri Susan Mang’eni amesema kuwa pesa hizo zitatolewa baina ya siku ya Alhamisi wiki hii na Ijumaa wiki ijayo kwa wahusika. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa zetu za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive