21 Nov 2025 10:31 am | Citizen TV 282 views Duration: 2:01 Bidhaa nyingi kutoka Lamu yakiwemo mabuyu, labania na Achari zimekosa soko nje ya Lamu na matafa mengine kwa sababu ya kutoidhinishwa na shirika la kutathmini ubora wa bidhaa KEBS.