21 Apr 2026 1:25 pm | Citizen TV 294 views Duration: 1:16 Bodi ya wahandisi nchini imetaka wawekezaji na wamiliki wa majumba kuwahushisha wataalam waliohitimu na kupokea cheti kutoka kwa bodi hiyo ili kukabiliana na visa vya majumba kuporomoka.