- 3,427 viewsDuration: 2:58Rais william Ruto alitia saini mswada wa dharura wa kupunguza ushuru wa mafuta kutoka asilimia 16 hadi asilimia 8, baada ya bunge kujadili na kuuidhinisha jana. Lita moja ya petroli na dizeli inauzwa kwa shilingi 197 na 196 mtawalia. Baadhi ya wabunge waliitaka serikali kuweka mikakati zaidi ya kuwakinga wakenya kutokana na makali ya ongezeko hilo.