Bungoma: Wakazi wapongeza uteuzi wa Consolata Wakwabubi kama Seneta mteule wa UDA

  • | NTV Video
    567 views

    Kina mama na baadhi ya viongozi wa chama cha UDA mjini Bungoma wamepongeza hatua ya hivi maajuzi ya rais William Ruto kumteua Consolata Wakwabubi ambaye ni mkaazi wa Bungoma kama seneta mteule wa UDA.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya