- 8,582 viewsDuration: 4:09Katika siku ya pili ya uchunguzi wa mauaji ya Antony Otieno mwendesha boda boda na mfanyi biashara wa kuwasilisha bidhaa zilizonunuliwa mtandaoni katika chumba cha kukodisha mtaani South B , runinga ya citizen imepata kanda za CCTV zikionyesha namna antony alivyoingia ndani ya orofa hiyo kwa jina meridian akiwa hai kabla ya kukumbana na mauti