Chama cha ODM chataka IEBC kutangaza tarehe ya uchaguzi mdogo Samburu

  • | Citizen TV
    700 views

    Chama cha ODM katika kaunti ya Samburu kimetoa wito kwa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, kutangaza tarehe ya uchaguzi mdogo wa Wadi ya Ang'ata Nanyokie katika kaunti hiyo ili kuwawezesha wakazi wa Wadi hiyo kumchagua kiongozi atakayewawakilisha katika bunge la kaunti hiyo