- 1,406 viewsDuration: 2:31Chama cha ODM kimewarai wafuasi wake kudumisha amani wakati wa uchaguzi mdogo katika eneo bunge la Kasipul. Akianzisha rasmi awamu ya mwisho za kampeni hizi katika Kijiji cha Kachien, mwenyekiti wa kitaifa wa chama hicho Gladys Wanga ameshtumu vikali visa vya makabiliano viliyoshuhudiwa wiki iliyopita.