4 Dec 2025 8:43 pm | Citizen TV 578 views Duration: 1:55 Serikali kupitia wizara ya michezo nchini imeanza mchakato wa kuzishawishi kampuni za Uchina nchini kuwekeza kwenye fani mbalimbali za michezo.