Chuo cha KU chaandaa ibaada ya ukumbusho baada ya wanafunzi kufariki kwenye ajali

  • | KBC Video
    64 views

    Chuo kikuu cha Kenyatta leo kiliandaa ibada ya ukumbusho kwa wanafunzi 11 wa chuo hicho walioangamia katika ajali ya barabarani wiki iliyopita. Ibada hiyo iliandaliwa katika bewa kuu la chuo kikuu hicho katika eneo bunge la Ruiru, kaunti ya Kiambu. Viongozi mbali mbali wakiongozwa na mama Taifa Rachel Ruto walijiunga na familia pamoja na marafiki katika kuomboleza wapendwa wao. Viongozi waliohudhuria hafla hiyo walielezea wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa visa vya ajali za barabarani ambazo walisema zinaweza kuepukika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive