21 Apr 2026 1:29 pm | Citizen TV 332 views Duration: 1:26 Chuo kikuu cha african talent university (TATU) kimepokea rasmi idhini kutoka kwa wizara ya elimu kuwa chuo kikuu cha 85 nchini kenya